
Baada ya short pant tunakuja kwenye swala la umini shirt hapa kidogo naona mie naweza kupakimbilia bila kujistukia kuzidi short pant kuivaa tupu sina ujanja huo nahisi manyenje yatakuwa wazi kimbilio lake ni kuvaa leggings ndio short pant kwa juu.wale wa vimini wanavivalia hivi summer time bibie kama mpenzi wa vitu hivi anza shopping.
