Friday 1 April 2011

LOON KAWA MWISLAMU SAFI

Mwanamuziki wa rapper loon(chauncey Lamont)alizaliwa mwaka 1975huko Harlem  ,wengi wenu nadhani mnamkumbuka alikuwa akiimba na p.didy.mwanamziki huyu ameachana na maisha ya uanamziki na akabadili dinina kuwa mwislam na akapewa jina la Amir Junaid ,alishakwenda Maca kuhiji.2010 loon aliamua kuanza kufanya ziara zake nchi mbalimbali kwa kuhimiza vijana kuachana na mambo ya uasherati na kufuata neno la mungu.

                                    
hapa unaona utofauti alikuwa sharobaro ivi dini imemkaa.