Wednesday, 27 April 2011

FASHION DISCUSSION:IS IT OK FOR A FRIEND TO COPY YOUR STYLE

Friends influence friends,even when it comes to fashion.hii bila shaka unakubaliana na mimi unaweza kuta unatop ya blue the same style na bestio akawanayo hiyo hiyo ila ya rangi nyingine je kunaubaya?au nywele ulisuka na yeye akazipenda akasuka na yeye je hapo imekaaje? 

 Mkaplan mtoke outing then alishakuona na nguo yako nae akaenda nunua basi kwa bahati mbaya mgagongana wote mmevaa je do you get upset?or let it slide? mkaendelea kupati.                                               

                                                                

hapa mkatoka ila hamkuvaa sale sale ila nguo yako nae anayo isipokuwa rangi tofauti !je bibie bado utakwazika au utasonga mbele ,toa maoni yako kupitia comments.