huyu alipandishwa mahakamani leo na amepewa miaka 3 ya kutumikia kifungu ikiaminika kweli ameiba hiyo cheni uchunguzi bado unaendelea.ila huyu binti tabia ya uwizi inataka imzoe,alishtakiwa kwa wizi mwaka 2009 kwa wizi wa cheni na hereni walipokuwa wanampiga picha kwa ajili ya Ellemagazine.mwaka 2010 alisemekana tena aliiba nguo kwenye boutique huko hollywood.sasa kama uchunguzi ukitoka kama kweli ameiba hapa sheria itafata mkondo.wezi sio weusi peke yetu kama wazungu wanavyotuchukulia huu ni mfano mzuri wameupata tena kwa celebrity binadamu yoyote anaweza pata vishawishi na kuiba haijalishi rangi.
LINDSAY