Animal print.
huge dress, mix ya white,black n yellow chin na open toe sandral.gauni zuri kwa summer times jua likiwaka na izo rangi unazidi kushine.
white suite mix black top hii ni men's wear ilikuwa style ya 2010 wanawake kuvaa suite za kiume.
Evening wear ,blue dress rangi imetulia vizuri,huu mpasuo mrefu
vertically striped top black n white ,nadhani kubwa kwa huyu model mana mali zote nje au ndio style!!