Katika anga ya muziki wa Eat Africa, imeshakuwa competition kubwa .Hasa kwa upande wa wanawake. Tanzania,Kenya,Uganda zote zina wanamuziki wenye viwango vya hali yajuu.kuanzia uimbaji hadi uvaaji.kuna badhii ya wanamuziki walishinda Mtv Africa Music Award mfano Lady jay dee toka Tanzania.Wahu matheng wa kenya na Juliana kanyomozi wa Uganda. ila kuna wanamuziki ambao hawa kwa swala la fashions wako nalo sawia na hata ukiona video za miziki yao huchoki kurudia angalia.make up zimepakwa ipasavyo na nice hairdo.
|
BLUE3 TOKA UGANDA.
Hawa ni first selection kwangu nawapenda sana . |
|
Sarah aka shaa toka Tanzania. |
|
Amani toka kenya
|
Nakaribisha mawazo yenu.na nyinyi kama mnaona kunawengine wana ginger swagger zaidi ya hawa.