Ritha paulsen aka madam ritha.
huyu mama ni mkurugenzi wa kampuni ya benchmark productions.kampuni yake inahusika na kutengeneza matangazo na masoko.na ni mbunifu wa kipindi cha (bss )bongo star search ,bss inayowasaidia sana wanamuziki chipukizi na kukuza vipaji vyao.na pia hata kubadili mfumo wa maisha yao
toka maisha duni hadi maisha bora kwa wale wanaokuwa washindi.Ritha
ameweza wasaidia vijana wengi chipukizi wa muziki na sasa wamekuwa wanamuziki wa kujitegemea na wengine wapo na kuajiriwa kwenye bendi.
Mariam mohamed ndio alikuwa mshindi wa bongo star search 2010 na alijinyakulia milion 30 alikuwa akiipenda miondoko ya taarabu.
madam ritha akiwa kwenye show ya bss kama jaji wa vipaji chipukizi wa muziki tanzania.
ritha ni fashionista anajua pangilia swagger.
alikuwa anafanya catwalk fani zote yupo.
Mwamvita Makamba,ni mama wa mtoto mmoja.ni mkurugenzi wa voda foundation. ni binti wa Yusufu Makamba.anajitahidi sana huyu dada kwenye swala la kujali jamii kupitia voda foundation,mana misaada mashuleni,mahospitalin na hata kwenye majanga makubwa kama mafuriko,amekuwa kipaumbele sana kusaidia jamiiipasavyo,mungu akubariki mwamvita uwe na moyo huu huu wakutujali watanzania.
mwamvita alipewa tuzo ya mfanyakazi bora wa voda com.akiwa na mmewe Gray.
Mwammy alikuwa akitoa zawadi za idd kwenye kituo cha watoto yatima zanzibar.
jay dee ni mwanamuziki na ni balozi wa wanawake wanao umwa ugongwa wa fistula nchini tanzania .anajituma jay dee kwa kuisaidia jamii kwa kutoa misaada ya pesa au vyakula kwa waliokubwa na afya na hata kusaidia wafamilia zenye hali ngumu ya kimaisha,alishajitolea saidia familia moja kuwalipia ada ya shule.na kusaidia wanawake wenye festula kufika CCBRT kwa popote pale walipo atakama ni nje ya mji wa dar kipesa na kuakikisha wametibiwa na malazi mpaka waponapo.
akiwa na wanawake wanaoumwa fistula katika hospital ya CCBRT.
akafungua na band kwa kustrech out stress za watanzania na michoko ya kazi za week nzima.