week end jalux inakupa tips za outfit ,utadress vp kulingana na unapokwenda.
ukitaka mburuzo ndio huo na belt lako.
Jlo anawakilisha na min gown hapa kwa wale wa vimini.
leggings n blazer nayo ipo hot
kidada zaidi
wapenzi wa jump suit ya short
wale wakanisa jumapili out fit inafaa
wale wa short pants