Monday, 16 May 2011
CIARA RIDING MOTORCYCLE !
Ciara was spotted riding a motorcycle,mwadada anajiweza purukushani ya pikipiki sio ndogo.tumeshazoea celebrity wengi wanatumia usafiri wa magari ila kwa ciara imekuwa tofauti kwa kipindi hiki cha summer,she luks lovely na boots zake.