Tuesday, 3 May 2011

BEST DRESS AT COSTUME INSTITUTE GALA 2011

Costume institute gala 2011 at the metropolitan Museum of Art ni maonyesho ya fashion yanayo fanyika kila mwaka,na kukutanismodel,actress,musicians,wa watu wengineo mbali mbali,hii list ni ya walio dress best 2011.

                                  
            Eva mendels inspeaking of color hii ni nouma royal blue one shoulder.

Riri in lace gown la mburuzo hot hot baby.


JLO lady in red,matching lips,clutch ,dress hadi manicure.

Hudson hapa kanikosha nywele yani lace wig laukweli.

KERI hapa knit gray gown nimelipenda na hizo bra strap ndio kabisa

Janelle Monae Met Gala 2011 Costume Institute 2
Jannel white n black then hiyo shingo stlye yake ni lovely

Alicia Keys Met Gala 2011
list yangu inaishia kwa Alicia key chocolate gown na kitu cha mamba jacket na clutch ingawa rangi imepooza  kwa red carpet.red carpet inapendeza na vibrant color.