Dunia inamambo,Venessa Lopez ni mwanaume alijibadili kuwa mwanamke mwenye umri wa miaka 27.alifanya transsexual mkaka huyu ametokea nchini Chile na kuhamia sweden.alikuwa na dream za kuwa mwanamke tangia akiwa mdogo aliamini akifikisha miaka 18 angejibadili na akajibadili.
Hapa alipoingia siku ya kwanza kwenye nyumba ya big brother,haruhusiwi toa siri kama yeye ni transexual mpaka washiriki wenzake wagundue,ingawa kunawanaume walimhisi ila hawakuwa na uhakika juu ya hili coz
mavazi yake,tabia ni ngumu kumjua kama ni mwanaume aliejibadili zote zinafanana mwanamke.
Bibie hapo kavaa swimwear nyeupe huwezi amini kama ni mwanaume kabisa kwa watakao penda angalia big brother wanaonyesha TV11 kwa walio sweden.
vidume kikichekelea havijui kama wapo na dume lenzao!
Big boobs anazo kweli hakuna kinacho shindikana duniani.
Vanessa anasema ameamua kujitangaza kama amejibadili jinsia ya kiume kuwa kike ,mana Spain kati ya wanawake 3 uwaonapo basi ujue wawili ni transsexual,Madrid nako mitaa imejaa na matranssexual haoni haja ya kuficha
kazi ipo pose ndio hizi huwezi amini kama ni dume,nahisi alikuwa mwanaume mwenye hormone za kike kwa wingi. kaka zetu muwe makini kwenye mizunguko yenu mnaa balaa kadame kapo divalicious.